Latest Series: Thread Ni Hii Hapa

Mkuu mbona za kitambo??
labda terminator
 
Mkuu inahusu nini??
Mkuu inahusu nchi moja ya kiharabu ambayo utawala wake umekuwa ni wa kimabavu hivyo kupelekea kuingia kwenye machafuko ya wenyewe kwa wenyewe, kunakikundi kikaundwa kwaajili ya kupambana na serikali
 
Mkuu inahusu nchi moja ya kiharabu ambayo utawala wake umekuwa ni wa kimabavu hivyo kupelekea kuingia kwenye machafuko ya wenyewe kwa wenyewe, kunakikundi kikaundwa kwaajili ya kupambana na serikali
Mkuu asante ila mimi napenda za kigaidi sana midle east afghanstan etc ambazo nimeona nikama
serias
Homeland
Crisis
24
Flash point
Zingine nimezisahau ila katika series ukinipa hizo umenimaliza!
 
Mkuu asante ila mimi napenda za kigaidi sana midle east afghanstan etc ambazo nimeona nikama
serias
Homeland
Crisis
24
Flash point
Zingine nimezisahau ila katika series ukinipa hizo umenimaliza!
Mkuu angalia Legends ni utaipenda inakwenda sambamba na 24
 
Mkuu asante ila mimi napenda za kigaidi sana midle east afghanstan etc ambazo nimeona nikama
serias
Homeland
Crisis
24
Flash point
Zingine nimezisahau ila katika series ukinipa hizo umenimaliza!

Umeshaichek STRIKE BACK kk..??
 
Kwa Mliohitaji torrent files za moviez na series .Sasa zipo tayari,bonyeza link hiyo hapo itakupeleka moja moja mpaka kwenye Movies na Series unayoitaka,ila kama unataka Movies na Series zengine,usisite kuniambia ili nikupatie udownload kwa urahisi. ellininog.blogspot.nl/2015/08/download-series-movies.html?m=1
 
Mkuu tyrant season 2 na last resort season 2 nimejaribu kuzitafuta kwenye torrent sijaziona,au zitakuwa bado azijaachiwa?
 
Wakuu ipitieni na viking iko poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…