Punguza data kwenye drive ambayo windows inakaa na kama kuna data nyingi kwenye desktop au my document ondoa huko weka kwenye partition nyingine huko...kitu kitakua ok otherwise ni mambo ya virus and anti virus.....
Jaribu kufanya disk defragmentation na pia fanya disk clean up,na kama una NORTON ANTIVIRUS itoe kabisa kwenye system yako..na mwisho hakikisha driver zote unazotumia ziko up to date.