Laptop za bei rahisi

MrSocrates

Member
Joined
Sep 29, 2017
Posts
46
Reaction score
30
Mzigo mpya umeingia Jana duuka lipo Karakoo. Laptop kuanzia Laki 2 na elfu 80 ni used nje ya nchi.
Kwa Dar es salaam tunakuletea ulipo bure.

Mawasiliano piga: 0715514050

 
Sawa tunakuja kuku ungisha kijana wetu
 
Nimenunua computer kariakoo Mara mbili nilichofanyiwa sitakaa nisahahu.


Natoa onyo kuweni makini sana na kariakoo ninajua janja nyingi sana wanazozifanya.
 
yalikukuta yapi? funguka
Computer nyingi used hapo kariakoo ni Computer zilizoshindikana yaani wamezipaka rangi Juu na na ile brand name kwenye computer kwa nje wameirudia kuiandika tena kwa rangi za kawaida.


Niliinua computer yangu mwaka Jana mwezi wa 6 ,kwa nje imeandikwa HP ila ndani kwenye "My Computer " imeandikwa Dell ..


Internal hard disc Kwenye Box lake ilikuwa imeandikwa Ni GB 350 , ila baada ya kuitumia Nilikuta Ni GB 200 , sasa hapo sijasema performance yake kwa ujumla ni mbovuuuuuuuuu sijapata ona. Mimi sio Mara ya kwanza kununua bidhaa za electronics kariakoo.


Ila nawashauri kama una hela acha kununua used computers kariakoo ni bora ununue Kitu kipya kabisa mbali na hivyo utakuja lia.


NB: Baadae nitaweza kukuwekea hizo picha mjionee
 

We kaka wewe, hizo mpya kabisa tunanunua wapi, si hapo hapo kariakoo???
ama unamaanisha twende Mliman City tukanunue maduka ya wazungu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…