Unatumia windows gani? Pamoja na mambo mengine ambayo nahisi yatakuwa ni ya ki-hardware zaidi lakini pia windows unayotumia haikuwa activated au uli-activate na fake serials ndiyo maana microsoft wamei-detect kama siyo genuine na hivyo wataendelea kukusumbuwa na pengine hata kukutupia virusi.
Taja aina ya windows unayotumia kabla sijakushauri ukamuone fundi.