Natumai m wazima
Nina laptop ya HP nimekuwa nikiitumia vizuri for the past year or so halafu ghafla ikaacha kutoa sauti na hapo kwenye icon ya sauti kuna X nyekundu na nikiweka mouse pointer hapo inasema 'no audio output device is installed'
Kwenye device manager hakuna option ya sound ni kama computer hata haiacknowledge kwamba nina speakers.
Naombeni msaada wenu waliobobea kwenye mambo haya ya computers
Asanteni