Laptop yangu haitaki kulogin

Anofaby

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
122
Reaction score
34
Naomben msaada laptop yangu kila nkiweka password inaniandkia 'the user profile service failed the logon. User profile cannot be loaded.

Lakini nikifungulia kwa guest inafunguka.

Naombeni msaada.
 
Unajua kutumia CMD?au washa pc yako na safe mode kwa kubonyeza F8
 
nGOJA nikuite watalaamu wakuu Cc ymollel snipa na wengine muje kipande hii
 
Last edited by a moderator:
Naomben msaada laptop yangu kila nkiweka password inaniandkia 'the user profile service failed the logon. User profile cannot be loaded.

Lakini nikifungulia kwa guest inafunguka.

Naombeni msaada.

unatumia windows gani?
 
Yaan inazima na inawaka vizuri.. tatz lipo kwny kuweka password ndo inakataa.. user profile cannot bd loaded.. ila nkiifungulia kwa guest inafunguka
 
zima halafu wakati umebonyeza power button bonyeza F8 mara tatu au nne hivi ili ikuletee startup options. chagua Safe mode
 
ikikupeleka kwenye safe mode ingia kwa hiyo account then restart uingie kawaida. ikigoma ingia tena safe mode halafu create account nyingine
 
ikikupeleka kwenye safe mode ingia kwa hiyo account then restart uingie kawaida. ikigoma ingia tena safe mode halafu create account nyingine

Yaan kila nkijaribu inashindkana
 
force kuizima halafu washa wakati inaanza kuwaka bonyeza F8 mara nyingi . itakulete startup options chagua safe mode .

kama itagoma kuleta startup option zima tena halafu washa wakati inaanza kuwaka bonyeza na shikilia Fn+ bonyeza F8 mara nyingi
 
Naomben msaada laptop yangu kila nkiweka password inaniandkia 'the user profile service failed the logon. User profile cannot be loaded.

Lakini nikifungulia kwa guest inafunguka.

Naombeni msaada.

Uliingiza software gani mara ya mwisho ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…