Zinakuja kwenye PM(tusichakachue mada).
Laptop yako ina Virus hiyo si umeiona ipo nyeusi? saudari
Ukiwa na hii dadavuzi mpakato, basi gharama za umeme unakuwa umeziepuka
watoto wetu ukiwafundisha hili neno watasema umetukana, kumbe ni maana ya laptop
watu nane toa hilo neno mbele ya dada... limekaa kimtegomtego sanaUkiwa na hii dadavuzi mpakato, basi gharama za umeme unakuwa umeziepuka
watu nane toa hilo neno mbele ya dada... limekaa kimtegomtego sana