haya anza sasa kunielewesha nakusikiliza.Punguza hasira mami........ taratibu tutaelewana.
Hii inafaa kutumia umeme utokanao na nishati ipatikanayo chooni (kinyesi cha mtu)Imetulia. inafaa kufundishia shule za kata. Vp inatumia umeme gani?
Ivi mjini kuna nini jamani mbona munatutisha sisi walugaluga? Alafu nasikia mjini watu amujambi eti nikweli?Ndo maana unaambiwa USIJE MJINI.
Mromboo nadhani inatumia umeme uliozalishwa na Zombie la NECTAImetulia. inafaa kufundishia shule za kata. Vp inatumia umeme gani?
Ivi mjini kuna nini jamani mbona munatutisha sisi walugaluga? Alafu nasikia mjini watu amujambi eti nikweli?