Innocent Henry
Member
- Oct 10, 2017
- 62
- 10
Nichek inboxHiyo ya juu ya 250000 hujaweka specication zake
Weka hapa kila mtu aone na weweNichek inbox
Una akaunti ngapi Mkuu?
Itakuwa kweli aliyeweka tangazo ni mwingine huyu naye pettymarcel kaja na kuanza kujibu maswali ya wateja.Matapeli hawa msishiriki nao atakayeshiriki asijilaumu baadae
Dar kubwa