Laptop kugoma kuwaka

samtot

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
268
Reaction score
154
wandugu naomba mnisaidie,
natumia dell latitude d610,
ilikuwa inafanya kazi fresh, ila siku moja nilipoiwasha ikaniletea screen ya buluu ikiwa na text, part ni
"... memory parity error ..."
fundi alicheki RAM, PROCESSOR havina shida.
msàada
 
ah Unakaz kubwa kijana, tatizo hapo ni over heating effect, yan unatumiaaa we mpaka bac,
TATIZO
hapo ni hard disk, na RAM kat ya hv viwil jaribu kufanya hv, toa hiyo RAM na kisha ichomeke tena, alafu chomoa hyo hard disk ksha weka tena,
Kisha iwashe,
kuwa makn ikiwa bado Run CHKDSK kujua kp n tatzo
 
asante,
vyote vimefanyiwa checking unayosema na kuonesha havina shida
 
Au fundi anataka kukuchakachua. Inawezekana sio fundi maana town wengi madalali
 
ah umejaribu kutumia RAM na Hard disk za kwenye PC nyingne.

hiyo ilifanyika na kuleta yaleyale,
ingawa ukivitoa na kuweka kwenye laptop nyingine vinafanya kazi fresh
 
Mpelekee fundi ataitegeneza, kama hdd ipo sawa na inaleta blue screen hilo litakuwa tatizo jingine, unaweza kuandika ujumbe wote unaoletewa kwenye hiyo blue screen?. Tatizo lingine linawezakuwa ni matatizo kwenye BIOS kitu ambacho sikushauri uki-troubleshoot usije ukaleta balaa zaidi. Mpelekee fundi.
 
" memory parity error "
fadhil paulo
 
wandugu naomba mnisaidie,
natumia dell latitude d610,
ilikuwa inafanya kazi fresh, ila siku moja nilipoiwasha ikaniletea screen ya buluu ikiwa na text, part ni
"... memory parity error ..."
fundi alicheki RAM, PROCESSOR havina shida.
msàada

Hii haijagoma kuwaka, usingeona blue screen. Imegoma ku-boot. Reinstall the operating system WITHOUT formatting ili usipoteze data.
 
huwaga feni, pia nayo inachangiaga kijana, katika tatizo hlo mana lime sababishwa na overheating!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…