Shareef Conscious
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 522
- 344
Hizo hapo picha SisterPiga picha vizuri tuione
Ikiwezekana short video
0764161048 nipgie tuyajengeHizo hapo picha SisterView attachment 2178914View attachment 2178915
Laki 9 kubwa mkuu punguza kidogoHp notebook
Ram-4GB
Hard Drive_500Gb
Display-1366*768
Batter life-11Hrs
Batter type-Replaceable
Haina damage yyte, imetumika 5 months
Shortly ni km mpya tu
Namba-0764 372652/0626 579795
Hakuniuliza bei personally, sijajua nia yake haswa ya ku Comment hivyo ni niniMmmh.
HDD alafu Ram ya 4GB
Sijaandika bei mahala ppte hpo, so usiniwekee maneno mdomoniLaki 9 kubwa mkuu punguza kidogo
Wewe ndio sio mstaarabu. Mtu anakukumbusha uweke beiSijaandika bei mahala ppte hpo, so usiniwekee maneno mdomoni
Na pia niliowasiliana nao sijawatajia bei km hiyo
KUWA MSTARAABU TAFADHALI
Kama hujaweka bei basi gawa bure kwa wanaohitaji.Sijaandika bei mahala ppte hpo, so usiniwekee maneno mdomoni
Na pia niliowasiliana nao sijawatajia bei km hiyo
KUWA MSTARAABU TAFADHALI
Laki 7 hakupi mtuHp notebook
Ram-4GB
Hard Drive_500Gb
Display-1366*768
Batter life-11Hrs
Batter type-Replaceable
Haina damage yyte, imetumika 5 months
Shortly ni km mpya tu
Namba-0764 372652/0626 579795
Bei yake ni ngapi?Sijaandika bei mahala ppte hpo, so usiniwekee maneno mdomoni
Na pia niliowasiliana nao sijawatajia bei km hiyo
KUWA MSTARAABU TAFADHALI
350KBei yake ni ngapi?
Nitarudi sababu nawatafutia watoto laptop ya kuchezea wakiwa nyumbani350K