Laptop inauzwa

JOH CARLOS

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2016
Posts
583
Reaction score
272
nzuri kwa ajili ya kijana anaeza elimu yake ya juu,pia kwa matumizi binafsi
bei poa sana

specs.
hdd 250gb
ram 2gb
processor 1.7ghz

kwa picha na maelezo zaidi
0765158387

dar es salaam-temeke

bei poa 300k tuu
wai mapema mali iwe na yako,ya rafiki yako au mwanao pia

note: sitopokea malalamiko yoyote ukikuta imeshauzwa
 
Iyo bakinayo mwenyew au kawauzie mtwara
Specification za kichovu kiasi icho laki 3 tena used uko serious kwel wew?
Tofauti na zuma Hakuna game lilote la kisasa utalo weza cheza kwenye iyo comp
 
Iyo bakinayo mwenyew au kawauzie mtwara
Specification za kichovu kiasi icho laki 3 tena used uko serious kwel wew?
Tofauti na zuma Hakuna game lilote la kisasa utalo weza cheza kwenye iyo comp
kwa wewe mtoto ni game ndo utawaza hamna kingine..endelea kubaki na ujinga wako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…