Laptop inauzwa

Yumbayumba

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2012
Posts
1,240
Reaction score
850

Procesor cor 2 duo p7450
4gb ram
Hdd 500
Webcam
Toshiba medium size
Bei 350,000/=
 
Hiyo elfu 50 juu inamtego, kama wawezanikupe laki mbili na 30 cash.
 
Nenda dukani kachukue, bila 450,000/= hupati
Hiyo ni bei ya mkononi tu lakini ni mpya kabisa
Laptop yangu ya kwanza nilinunua laki 3. Japo zipo hadi za 1.6milioni.....Hiyo ya laki tatu ilikidhi matumizi yangu kikamilifu na hata chaji ilikuwa ikikaa sana tu. Sema kwasasa moyo wa kununua Mali mpya bado sina
 
Hiyo elfu 50 juu inamtego, kama wawezanikupe laki mbili na 30 cash.
Kumbe huna moyo wa kununua ndomana ukasema unipe laki mbili 30?
Laptop yangu ya kwanza nilinunua laki 3. Japo zipo hadi za 1.6milioni.....Hiyo ya laki tatu ilikidhi matumizi yangu kikamilifu na hata chaji ilikuwa ikikaa sana tu. Sema kwasasa moyo wa kununua Mali mpya bado sina
 
Ungekubali ningeikagua alafu ningebeba mzigo, sema na fungu ni ndogo ndio maana kamoyo kamekaa mbali na uhitaji
Tatizo pesa yako ni ndogo, tungeelewana ningeelewana ningekupa namba tungeonana ungeikagua ungeridhika tungefanya biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…