Innocent Henry
Member
- Oct 10, 2017
- 62
- 10
KaribuNitakucheki,
Unapatikana wapi? Mikoani je mtu akihitajiKama kawaida, tumedondosha tena mzigo wa kutosha,
Kwa tsh 250,000/= tu jipatie laptop yako kati ya hizi.
Zipo min hp, min dell, min sumsung, min toshiba na min lenovo, pia tuna dell latitude D 620 na laptop nyingine nyingi.
Popote ulipo ndani ya tanzania, huduma zetu zitakufikia.
Nichek kwa 0623554361 kwa maelezo zaidi.
KARIBUNI
View attachment 655898View attachment 655899View attachment 655900View attachment 655902View attachment 655903View attachment 655904View attachment 655905
Mikoani tunatuma kwa njia ya mabasiUnapatikana wapi? Mikoani je mtu akihitaji
Nitafute tuongee vizuriDuh ntakutafta
Karibu sanaNitakucheki,
Karibu sana, nicheki kwa 0623554361Takutafuta tarehe 28
Nichek 0623554361 tuyajenge bossDsm unapatikana maeneo gani
Mkuu, sisi sio matapeli, kuna watu kadhaa na tumewahudumia wamo humu ni mashahidi wazuri, lakini kama unaogopa hilo na upo mbali, waweza kumtuma mtu, jamaa au rafiki, ukampa pesa zako, ukamuonesha chaguo lako, kisha sisi tutakutana naye, tutamkabidhi mzigo wako na yeye atatupa pesa, wala hakutakuwa na shidaMkuu vipi kuhusu utapeli siku hizi tunaogopa sana sijui nifanye je napenda rangi ya papo au orange.
Zipo zenye hard disk kubwaHard disk ndogo sana kiasi kwamba hazifai kwa kazi nyingi