teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Kuna windows updates zinajarb kudownload. Bonyeza sehem ya wifi, then bonyeza hyo network uliyoconnect, then bonyeza properties. Itafungua settings zake, scroll mpk chini utaona sehem imeandikwa "set as metered connection", weka hyo na haitakuja kudownload updates tenaKaMa nilivyoseMa hapo juu nina laptop aina ya Microsoft surfaceGo ina windows 10, ninapotaka kuiNgia kwenye mtandao huwa natumia WIFI au USB TITHERING kuunganisha network toka kwenye simu. Lahaula jana nimeNunua gb 1 ndani ya dkk 20 zikawa zimebaki mb 480. Sasa nifanyeje kuzuia au kupunguza ulaji?
Huwezi ondoa automatic updates kwenye windows 10 officially kwenye settings. Mpk ukaondoe vitu kwenye registry au windows sevices ambayo sishauri mtu kufanya. Njia rahisi ni ku set as metered connection tuOndoa automatic update
Na Mimi nilishapata hiyo adha hasa kwenye window 10 nilijaribu NJIA zote kuzuia bila mafanikio mwisho WA siku nilibadili windows now natumia 8.1 pro GB moja naperuzi wiki nzimaKama nilivyoseMa hapo juu nina laptop aina ya Microsoft surfaceGo ina windows 10, ninapotaka kuiNgia kwenye mtandao huwa natumia WIFI au USB TITHERING kuunganisha network toka kwenye simu. Lahaula jana nimeNunua gb 1 ndani ya dk 20 zikawa zimebaki mb 480. Sasa nifanyeje kuzuia au kupunguza ulaji?
...Kama nilivyoseMa hapo juu nina laptop aina ya Microsoft surfaceGo ina windows 10, ninapotaka kuiNgia kwenye mtandao huwa natumia WIFI au USB TITHERING kuunganisha network toka kwenye simu. Lahaula jana nimeNunua gb 1 ndani ya dk 20 zikawa zimebaki mb 480. Sasa nifanyeje kuzuia au kupunguza ulaji?
Possibility ni kua windows yako ni version ya zaman na PC ina force ku update. Weka bundle la usiku (halotel buku jero bila kikomo) then iache laptop i update usiku (toa sleep after X minutes iwe never)Nimeweka hiyo metered connection on lkn bado inakula sana, nini kingine nifanye?
aiseeee....sijawahi kushawishika kuhama 8.1...yaani nipo addicted kabisaaaa...na mitandaoni natumia moderm ila bundle linaenda kawaida sana..kwa mfano kama sasa hivi nipo online dakika ya 14 hivi ila mb zimeenda 4 tu..Na Mimi nilishapata hiyo adha hasa kwenye window 10 nilijaribu NJIA zote kuzuia bila mafanikio mwisho WA siku nilibadili windows now natumia 8.1 pro GB moja naperuzi wiki nzima
Nkushauri usifunge updates weka gb za kutosha iache idownload updates mpaka ifike update ya mwisho ya windows 10, basi itaacha. Mimi kama kuna windows naikubari ni windows 10. Ukiruhusu iwe ina jiupdate kwanza inakuwa stable na hutohitaji kuwa unashusha shusha windows.Kama nilivyoseMa hapo juu nina laptop aina ya Microsoft surfaceGo ina windows 10, ninapotaka kuiNgia kwenye mtandao huwa natumia WIFI au USB TITHERING kuunganisha network toka kwenye simu. Lahaula jana nimeNunua gb 1 ndani ya dk 20 zikawa zimebaki mb 480. Sasa nifanyeje kuzuia au kupunguza ulaji?