Laptop Hp nw8440 mobile work station

hero de mmar

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
470
Reaction score
108
Wakuu nauza mashine tajwa hapo juu ina ram 2gb, processor core 2.00 ghz, 64 bit os, window 7 professional, hdd 250gb, dvd rom RW ipo kwenye hali nzuri pia ina tatizo la betri tu, Bei ni 380,000.

Lengo la kuiuza: sipendelei bidhaa za hp hivyo nataka kununua dell hivyo kama una dell twaweza fanya mabadilishano
 
Wakazi wa arusha watapewa kipaumbele zaidi ili kuwe na urahis wa kukagua mzigo wako.Picha hizi hapa
 

Attachments

  • 1394889988914.jpg
    38.7 KB · Views: 89
  • 1394890025549.jpg
    31.8 KB · Views: 82
  • 1394890062988.jpg
    36.9 KB · Views: 69
Ghali sana ukiacha na.huo vu tatizo la betri kwa 380 uko juu sana. Iyo bateri ina tatizo lipi fafamua kidogo.
 
Betri imekufa yaani mpaka utumie direct kutoka kwa umeme. Worry out maelewano yapo kama uko serious
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…