nita ku PM je unacharge gharama zozote kwenda kuona eneo kabla ya design? SPOrder ya design yoyote ile iwe complicated vip itapokelewa na utapata design nzuri na yenye vipimo sawia na utaalamu wa hali ya juuuvl
nita ku PM je unacharge gharama zozote kwenda kuona eneo kabla ya design? SP
Nilikuwa class kwenye panel ya presentation,
Kama ulikuwa class ulipotoka mbona hukumpigia jamaa wakati unajua una issue nae? uzuri mmoja wa hapa JF hamna siri ukiborong kazi unawekwa hadharani.. du ona sasa dili zinapotea..