Hiyo gari nyingi ni za diesel kama ulikua unamaanisha ulaji wa diesel ni kawaida maana nyingi ni 2.2 engine capacity hiyo ndio nayotumia kwenye kazi zangu SA parts zake nanunua Land rover niliyonayo ni ya 2016 TRA kodi wanata Tsh 33 milion kama ntataka kuileta Kuja kutumia Tanzania..