Land Rover Freelander imerudi kivingine: Freelander EV!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
33,680
Reaction score
97,465
Tokea izinduliwe mwaka 1997, Land Rover Freelander imejizolea umaarufu sana kama off-road SUV na mauzo yake yalikua mazuri sana.

Sijui kwanini, ila JRL wakaona waifikishe tamati mwaka 2015, ili wafocus kwenye premium models za Discovery.

Hatimaye Freelander imerudi tena, ikiwa ni joint-venture ya Jaguar Land Rover na Mchina Cherry Automotive.

Hii off-road SUV itatengenezwa kwenye platform ya Chery ya 800V architecture, kwahiyo itakuja na options tatu: pure EV, plug-in hybrid (PHEV), na extended-range electric vehicle (EREV).


Specifications zaidi zitatolewa soon.
 
This design doesnt scream landrover at all, maybe grenadier waki make compact svu kama hii wanaweza kuja na hood design
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…