Si kama nakukatisha tamaa ila kwa bei ya soko ilivyo kuuza m20 hutaweza, cause gari ya aina hiyo hata ukiagiza japan gharama zote mpaka kuitoa bandarini bado haifiki hiyo 20
watajie wanunuzi bei muafaka pia weka picha nyingi mbalimbali mpaka za ndani