Laini zinapatikana siku zote na muda wote kwenye ofisi za mawakala wakuu.
Kwa Dar es salaam laini zinapatikana kila Wilaya kwa mawakala wakuu wa eneo ulilopo.
Niambie upo dar sehemu gan(unataka kufanyia biashara sehemu gani) ili nikuelekeze wakala mkuu wa eneo ulilopo ili upate msaada.
kwa maelekezo zaidi karibu PM.
Sent using
Jamii Forums mobile app