laini ya tigopesa inauzwa

djesco

Senior Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
166
Reaction score
52
wakuu nauza laini yangu ya uwakala wa tigopesa imesajiliwa dar es salaam kwa anayehitaji nipigie simu 0654404707.Bei in tshs.550,000/= ila maongezi yapo.
 
mkuu mia 5 mia kamili najuachia laini tena wanipa name docs zako nakubadilishia jina
 
swali kwann unaiuza????? mi pia wakala nahitaji kujuaa changamotoo ulizozipata naomba ufunguke na uipunguze bei hiooo till
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…