Laini ya m-pesa inauzwa Dodoma.

lettymololo

Senior Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
132
Reaction score
11
Kama upo dodoma na unahitaji laini ya m-pesa kwa bei nafuu tsh.200000 naomba uni pm nitakufuata ulipo
 
Kama upo dar npm namba yako nkupe kwa laki na nusu tu napatkana kmara.mpzaa haijawah kufanyiwa hata muamala mmoja .
 
Hujawa specific mkuu,whether unauza line nying au moja tu maana ulivyopost as if ni agent then aidha ziko chache au moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…