Hawa ndo wanachangia bifu huwezi tegemea maneno kama hayo ya timu flan kutoka kwa msanii mkubwa kama jide
Kama huhapendezewa yeye kuwa team Kiba chukua maji unywe!
Hongera sana Jay dee
Hawa ndo wanachangia bifu huwezi tegemea maneno kama hayo ya timu flan kutoka kwa msanii mkubwa kama jide
Jide mjanja, ameshaona kujiweka kwenye mabifu kunalipa hasa kama mwenyewe umesanda! Mwaka jana ile cjui mwaka juzi, akiwa kati kati ya bifu na Mwana-FA na Clouds, akajiegemeza kwa Sugu... kwa mara ya kwanza katika historia ya muziki wa Tanzania, Jide akawa anaitwa Kamanda... wenye akili zao wakajiuliza, huu ukamanda wa Jide umeanza lini... lakini kila mmoja anafahamu ile kujiegemeza na Sugu ili-boost sana show yake!!!
Ah, wapi! Kisa Jide kasema yupo Team Kiba? Huyo Mond mwenyewe sidhani kama ana mpango wa kufanya kazi na Jide manake mawazo yake yooooooooote, yame-focus wasanii wakubwa wa West Afrika kwa sababu anafahamu West Afrika ndiko kwenye biashara ya muziki kwa Afrika hii!!! Jide awe Team Kiba, Team Davido au Team yoyote ile, haina effect kwa Diamond hata kidogo!!! Kwanza kwa hili atakayeneemeka sio Ali Kiba bali Jide mwenyewe... in short, anataka kumtumia Ali Kiba kwa kuwa anafahamu Kiba ana mashabiki wa kutosha, sema tu sumu yao ukiwarushia buku 2 mbili!!! Sema hapa nimemchokoza Jide, mpwa warumi lazima anitoe macho!
Kanuna Davido na bado watu wakaenda kupiga show nchini mwake itakuja kuwa hawa wengine... tena show zote ni show classic na sio show za kwenye mavumbi!!!Hata awe teambestnaso wala hatujaliiii,,,,,safari hiii mtavunja mapera maana nazi zimepanda bei halaaaaa
Kanuna Davido na bado watu wakaenda kupiga show nchini mwake itakuja kuwa hawa wengine... tena show zote ni show classic na sio show za kwenye mavumbi!!!
Ushapanik tayari ww bifu hazina mpango tatzo kila sehemu unaona ushabiki tu