Baada ya kuachana kwa muda sasa Kylie jenner and travis Scott wamerudiana na kuendeleza mahusiano yao yalipoishia.
Hapa wangekuwa wabongo basi wangekuwa wamebadilisha wapenzi km ishirini tokea waachane. Sijui wenyewe wanaona sifa 😏
Billionaire tu km Kylie au travis wametulia na kuangalia hali ya hewa kwanza baada ya kuachana wewe nani unaachana leo, kesho unapata mpenzi mwingine. Ndio maana mnakufa masikini na magonjwa ya ngono hayaishi kwa kupenda sex