C Chinu Member Joined Jun 3, 2015 Posts 19 Reaction score 7 Aug 9, 2015 #1 Katika misafara na mihadhara wanayofanya CCM watu wanaoonekana wengi ni wale waliovaa sare za ccm yaani kijani na njano tofauti na ya UKAWA ambapo wanaoonekana wengi wamevaa mavazi ya kawaida. Hii inaashiria nini?
Katika misafara na mihadhara wanayofanya CCM watu wanaoonekana wengi ni wale waliovaa sare za ccm yaani kijani na njano tofauti na ya UKAWA ambapo wanaoonekana wengi wamevaa mavazi ya kawaida. Hii inaashiria nini?
ngalala Senior Member Joined Mar 29, 2015 Posts 160 Reaction score 84 Aug 9, 2015 #2 Cdm inapendwa wanachama na wasio wanachama!
J Jimmy Kadebedebe JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 468 Reaction score 191 Aug 9, 2015 #3 Ukawa inapendwa na wananchi waliochoka utawala kandamizi wa CCM tofauti na hao wanaovaa nguo za figili tena kwa kusombelewa na malori.
Ukawa inapendwa na wananchi waliochoka utawala kandamizi wa CCM tofauti na hao wanaovaa nguo za figili tena kwa kusombelewa na malori.
C chaikavu JF-Expert Member Joined Apr 18, 2015 Posts 760 Reaction score 473 Aug 9, 2015 #4 wa kijani wanavalishwa
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,178 Aug 9, 2015 #5 wengine wamevaa jezi za yanga na brazil
K Kingugwe JF-Expert Member Joined Jul 19, 2015 Posts 378 Reaction score 77 Aug 9, 2015 #6 Jimmy Kadebedebe said: Ukawa inapendwa na wananchi waliochoka utawala kandamizi wa CCM tofauti na hao wanaovaa nguo za figili tena kwa kusombelewa na malori. Click to expand... Kwakweli shebaha umeitunga ndipo...
Jimmy Kadebedebe said: Ukawa inapendwa na wananchi waliochoka utawala kandamizi wa CCM tofauti na hao wanaovaa nguo za figili tena kwa kusombelewa na malori. Click to expand... Kwakweli shebaha umeitunga ndipo...
L Lenatuschacha Senior Member Joined Jul 29, 2015 Posts 156 Reaction score 36 Aug 9, 2015 #7 Kumbi mmeona ccm hawana watu