Kaka kiukweli hayo ni matatizo makubwa yanayo zikumba hizi memory card
.
Utakuta hivi
.
Uki iweka kwenye PC inakwambia format before open... cc. Windows 7/8 uki format inakwambia windows can't complete ..........
.
Ukiingiza nyimbo zinaingia na ziki play utaona zina scratch au hazi play kabisa... Ila ukiitoa kwenye PC na kuweka kwenye simu haukuti kitu.... Vitu vya mala ya kwanza ndivyo vilivyo baki..... Hii imekuwa READ ONLY yaani kuna wadudu wame ifanya iwe hiv au ndo inaelekea ku corrupt...
.
Nyingine utakuta haiwezi kupokea kabisa kitu chochote kupitia PC na wala hai formatiki hii ni WRITE PROTECTED lakin chaajabu uki rusha nyimbo kupitia simu inapokea vizuri na zina play lakin uki iweka kwenye PC itakwambia format before open .... > windows could not complete ......
.
Tatizo kama hilo la ulilo nalo saizi ujue ni virus wameifanya memory yako isiweze kutambua format ya kitu chochote...
.
Mfano
.
Lucky dube ... One love mp3
copyright (none)
format (none)
album (none)
.
Lakini kwenye format ilitakiwa iwe mp3 lakin yenyewe inakwambia none kwa hiyo uki play itakwambia can't open file....
.
Ndivyo zinavyo kufaga hivi vitu kaka