KASIM MNKONDYA
Member
- Nov 23, 2012
- 20
- 5
Atakuja aje, alitwaga Umtela uyo, tulimubhomba yoka nu wamwabho u nashonza!
Acha ukabila
Wewe vipi umetumwa na Mwampashi nini?Nikiwa mzaliwa wa MBOZI na mzalendo miaka kadha imepita bila kuwa na mbunge makini nikianzia enzi za marehemu HALINGA hadi leo tuna mbunge aliyekosa weledi katika masuala ya kiuchumi kazi kuunga mkono hoja za chama(ccm) tuu.Niwasihii waMBOZI hususani jimbo la mbozi mashariki tuungane pamoja na jitihada za M4C ili tukomboe jimbo letu.pia nitumie fursa hii kuwatahadharisha na MTELA MWAMPAMBA ambaye anatumia kofia ya ccm na vibaraka wake lengo kudhoofisha harakati za mabadiliko na uhuru wa kweli. huyu ni mtu wa kumbeza kwani hana jipya zaidi ya kutaka manufaa yake na si wananchi kwani mimi namuelewa vizuri tangu tukiwa chuo.Naomba kuwasilisha.........
Mkuu weak thinkers gravitate towards nepotism and tribalism for support and relevance.Acha ukabila
uchungu wa mwana aujuae mzazi ww jamaa hujui taabu na shida tunazozipata watu wa vijiji vya Ipapa, ipunga sakamwela,ipazya juu ya uhaba wa maji na Mbalabala zye mbovu nkani!Wewe vipi umetumwa na Mwampashi nini?
Hiki ni kijiwe cha kuchambua isssues na si kupiga kampeni kinyemela!
Nikiwa mzaliwa wa MBOZI na mzalendo miaka kadha imepita bila kuwa na mbunge makini nikianzia enzi za marehemu HALINGA hadi leo tuna mbunge aliyekosa weledi katika masuala ya kiuchumi kazi kuunga mkono hoja za chama(ccm) tuu.Niwasihii waMBOZI hususani jimbo la mbozi mashariki tuungane pamoja na jitihada za M4C ili tukomboe jimbo letu.pia nitumie fursa hii kuwatahadharisha na MTELA MWAMPAMBA ambaye anatumia kofia ya ccm na vibaraka wake lengo kudhoofisha harakati za mabadiliko na uhuru wa kweli. huyu ni mtu wa kumbeza kwani hana jipya zaidi ya kutaka manufaa yake na si wananchi kwani mimi namuelewa vizuri tangu tukiwa chuo.Naomba kuwasilisha.........
uchungu wa mwana aujuae mzazi ww jamaa hujui taabu na shida tunazozipata watu wa vijiji vya Ipapa, ipunga sakamwela,ipazya juu ya uhaba wa maji na Mbalabala zye mbovu nkani!