Anatafuta washamba wenzio wawe group.. Just kiddingDuh! Ulizidi ushamba asee 🤣🤣🤣🤣
pole kuwa mshamba kwenye technologySema bhana na vyaukubwani au unaona aibu??[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kidogo nimwage mbogaaa[emoji6]siku nafundishwa gari, nilikuwa natowa kichwa nje ili nione tail inakanyaga wap[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
siku nafundishwa gari, nilikuwa natowa kichwa nje ili nione tail inakanyaga wap[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje ni mwanaume??Yaani mwanaume anakuhonga zawadi ya simu halafu unajishebedua huitaki. Mimi ningeifata na nusingekupa Tena nyambafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli umepulizaaUshamba mzigo, miaka ya 2000 huko nilialikwa sherehe flani hivi, so kwenye sahani za misosi tukawekewa na tishu. Mi nilijua ni sehu ya msosi wacha nichanganye kuzila na msosi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
I'm jokin!
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ