Kweli nimetendwa mie

haaaaa skubali
mzee mwenzangu na wewe unahusika hapo?

Gea njooo utolee maelezo hii kitu
Si kweli kabisa tulitaniana tu,nilikosa usingizi halaf we ulikua mbali tulitaniana kidogo labda ye alimaanisha kweli
 
Huyo hawezi kuoa. Ingekuwa kuoa angeshaoa 2010.

Aliamua kukuharibia tu
Jamaa kana roho mbaya aisee
Yan akiona nataka kutafta uwanja
Mpya jamaa anaotesha mchongoma

Cjui n muendee kwa mganga gan


[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Jamaa kana roho mbaya aisee
Yan akiona nataka kutafta uwanja
Mpya jamaa anaotesha mchongoma

Cjui n muendee kwa mganga gan


[Color= yellow]Triple A[/color]
Itabidi umtafutie nje ya JF maana ukienda kwa mshana kana undugu naye
 
sasa nisaidie bhana haya yeshe maana isha kuwa tab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…