dady Vanny
Member
- Apr 29, 2018
- 28
- 9
Hahaha mkuu umejuajee kuna jamaa alikuwa kazi yake kutia vitoto vya watu kajaliwa watoto wakike mapacha juzi[emoji23]Nimejaribu kufuatilia nakufikiria nimegundua Mungu niwaajabu...kwetu sisi wanaume nmeona kwawale maplayboy Mungu amakuonesha jinsi watu wanavoumizwa kupitia hyo tabia yakuwachezea mabinti nakuwaacha maana beliave me ukiwa natabia chafu kwamabinti pia unabarikiwa mtoto wakike mzuriiii hapo ndo itajua Mungu sio Deus..tuache hizi tabia asee hayo mambo tisipende sana..kumbuka unavomchezea binti wawatu vivo hivo mkeo,mwanao na nduguyo watafanyiwa hivo......
Mi naona simetimes Mungu anakuonea huruma kama huna hayo mambo pia inaweza kuwa nimalipo sababu ya nduguyo unajua what goes arround it comes back arroundSasaiv mkuu hata usipowala wakwako wataliwa tuu
Si mpaka yanitokee mimi hayo mambo yapo kwa hamii inayotuzunguka na nmeona wengi nao wengine ni my relativesNani huyoo alikugongea ndugu yako kapata mtoto wa kike?
Sawa sawa Mkuu!Si mpaka yanitokee mimi hayo mambo yapo kwa hamii inayotuzunguka na nmeona wengi nao wengine ni my relatives