ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,655 Apr 10, 2012 #1 Sijui kwa nini marefa wanapokosea ktk mechi wachezao man utd kila mtu anadai wanapendelewa, lakini makosa kama hayo yanapotokea 'to the advantage of teams other than man utd', watu wana-mute 'as if nothing happened'. Hakuna anayeongelea hili, BBC Sport - Wigan Athletic boss Martinez receives apology from Riley. Heu dokonyolea macho hapo halafu niambie!
Sijui kwa nini marefa wanapokosea ktk mechi wachezao man utd kila mtu anadai wanapendelewa, lakini makosa kama hayo yanapotokea 'to the advantage of teams other than man utd', watu wana-mute 'as if nothing happened'. Hakuna anayeongelea hili, BBC Sport - Wigan Athletic boss Martinez receives apology from Riley. Heu dokonyolea macho hapo halafu niambie!
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,686 Apr 10, 2012 #2 tushazoea mkuu!chelsea juzi wamefunga wachezaji "mia" walikuwa offside!watu wamepiga kimya tu! nadhani sababu kuu ni kwa sababu Man utd mwisho wa siku huchukua ubingwa!
tushazoea mkuu!chelsea juzi wamefunga wachezaji "mia" walikuwa offside!watu wamepiga kimya tu! nadhani sababu kuu ni kwa sababu Man utd mwisho wa siku huchukua ubingwa!