Kweli kuzaa sio kupata

maharage ya ukweni

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
1,493
Reaction score
3,382
Hodi wenyeji
Mwanzo mtoto alipozaliwa wazazi walifurahi sana na kupiga kelele kijiji kizima kwakua mtoto alifanana sana na baba yake.Kila mgeni aliyepita alitambulishwa bila hata kuuliza kua mtoto yule ni wa kwetu na kule alipo ni kwa jirani yetu ametuomba amlee yeye kwakua yeye hana kizazi hivyo kumlea na kumtunza mtoto wetu anapata faraja sana.Jirani kwakuonekana anamlea mtoto wao vizuri wakamsifia sana mara ni mtumishi wa mungu,mara ana roho nzuri sio kama ndugu zake.
Ndugu zetu mlituambia Rais anatekeleza Ilani ya UKAWA na kila mtu mlimwaminisha hivyo mpaka kuitisha mikutano na waandishi wa habari ili wawatangazie watanzania kuwa Rais anatekeleza ilani ya ukawa sasa UKUTA wanini tena?
​
 
K vant za asubuhi
 
Heheee..ngoja tuone.

Hivi hauna itabili kuhusiana na viongozi wa serikali ya kijani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…