my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Kama huwajui sio lazima uwajue. Endelea na mambo unayoyajua.Unaweza weka picha tuwajue wote wawil wengine hatuwajui unaowaongelea
Upuuzi mtupu hivi mtu unakaaje sehemu usiyopendwa.Aisee !! lakini inaonekana mkuyenge wa tandale siyo wa karne hii.
Ingia Google utaona picha zao.Weka picha mkuu japo nimekaa siti 3 nitaelewa unachozungumzia
Kwa iyoo sis tufanyeje??????????????????????????????????Alie sema huu msemo hakukosea. Hasa ukimuangalia wema sepetu. Mimi wema sepetu nimeanza kumsikia sanaa 2015 sababu ndio mwaka nilianza kua active na social media.
Kipindi hko alikua ashikiki ukimchokoza tu fans wake wanakutukana mpk utajuta. Fans wake walikua wana matusi sana. alikua na fan base kubwa sana ila mimi sikuwah kuwa fan yke sababu sipendi watu wenye wako na mamwili mkubwa walio vimba vimba lakn kuna watu walimpenda sana.
Lakin ukiangalia sasa hana ushawishi kama zaman fans wake wengi wamemkimbia wengi wanasema hana akili ya maisha ana miaka mingi ya kuwa maarufu lakin ameshindwa kutumia umaarufu wake kutengeneza pesa alilewa sifa za mitandaoni akasahau kuna maisha nje ya mtandao.
Leo hii wema sepetu amepitwa fan base na hamisa mobetto. Hamisa ana fan base kubwa na strong kwa sasa ukilinganisha na wema. Pia hamisa ameweza kutambua hilo na anatumia vizuri fan base yake. Amefungua duka lake halina hata mwaka lakn limekuwa homa ya mji na baadhi ya kampuni wameliona hili na kumpa dili mbali mbali.
Sasa ukiingia page ya wema ukisoma comments anaambulia matusi tu yani leo hii wema amekuwa kama mtoto wa kambo kila mtu anam eza anamuona alichezea maisha yke vibaya. tofauti na hamisa comments nyingi wanampa moyo na kuonesha mapenzi ya dhati walikuwa nayo kwa hamisa.
Huyu hamisa nae ana upungufu wake kwa Diamond lakin kama akiamua kukaa mbali na drama za Diamond atajipatia point ya muhimu sana ambayo itazidi kufanya maisha yake yawe bright lakn na yeye sidhan kama ataweza limudu hili anaonekana ni dhaifu kwa diamond kama vile mwanaume ni diamond tu.
Kwa upande wa wema anaonekana ana majuto lakn atafanya nini amechezea mwenyewe maisha yke anajikaza tu na anaonekana kabisa ugonjwa wa stress unamsumbua .
Btw kuna kitu sana cha kujifunza ktk hili mtu unatakiwa uishi kuendana na muda na kuzitumia vizuri chances zinazotokea maishani bila kujali umri. Bahati haikuji mara mbili na ikishaondoka imeondoka.
Ha haKwa iyoo sis tufanyeje??????????????????????????????????
Hebu angalia jina la jukwaa ndo ujue cha kucommentKama akili zenu ni kujadili watu badala ya ujasiriamali nawaonea huruma wanasiasa wanaohamashisha matakataka kama ninyi ambao hamtaki kufanya kazi.
Wewe unaejadili ujasiri mali 24/7 na mimi naejadli ushuzi 24/7 nina maisha na future nzuri kuliko wewe unaejiona una akili kumbe hata ushuzi wa kuku una thamani kuliko maisha yko ππKama akili zenu ni kujadili watu badala ya ujasiriamali nawaonea huruma wanasiasa wanaohamashisha matakataka kama ninyi ambao hamtaki kufanya kazi.
Sasa hiki ulio andika ni nini kama sio comment π wewe ni mpumbavu na hakuna aliewahi kuwa mpumbavu kama wewe tangu hii Dunia ianze πSitoagi comment kwenye mada za kipumbavu kama hizi
fanya kile unaona kinakufaa kisichokufaa unachana nacho sio lazima kila kitu uingize pua yko YFI πKwa iyoo sis tufanyeje??????????????????????????????????
Wanajifanya wanafahamu kila kitu matokeo yke wanakuwa vituko. celebrities forum anataka watu wajadili ujasiria mali kama si utaahira ni nini?Hebu angalia jina la jukwaa ndo ujue cha kucomment
Not ur cup of tea ...soma upiteKwa iyoo sis tufanyeje??????????????????????????????????