Khaa!! haya utayajua vizuri sana baada ya Oktoba usingizi ukiishaNasema:
Chadema si Zitto, aliondoka bado Chadema imeendelea kupendwa
Chadema si Dr Slaa, ameondoka leo hii umati wa Chadema ni mkubwa kuliko alipokuwa katibu mkuu
Chadema si Mbowe, hata yeye akiondoka Chadema kitaendelea kuwa chama cha UMMA wa watanzania
Watu hawajui tu, Chadema leo hii ni imara zaidi ya ile ya jana kabla ya mzee Slaa kuiponda
Hakuna kutetereka, nguvu ya umma inasonga mbele hadi ukombozi upatikane!
Chadema ni wananchi sio ya mtu mmoja ndio maana haitetereki.
I See..Nasema:
Chadema si Mbowe,
!
Nasema:
Chadema si Zitto, aliondoka bado Chadema imeendelea kupendwa
Chadema si Dr Slaa, ameondoka leo hii umati wa Chadema ni mkubwa kuliko alipokuwa katibu mkuu
Chadema si Mbowe, hata yeye akiondoka Chadema kitaendelea kuwa chama cha UMMA wa watanzania
Watu hawajui tu, Chadema leo hii ni imara zaidi ya ile ya jana kabla ya mzee Slaa kuiponda
Hakuna kutetereka, nguvu ya umma inasonga mbele hadi ukombozi upatikane![/QUOTE
Slaa kalee wajukuu
Khaa!! haya utayajua vizuri sana baada ya Oktoba usingizi ukiisha
Nasema:
Chadema si Zitto, aliondoka bado Chadema imeendelea kupendwa
Chadema si Dr Slaa, ameondoka leo hii umati wa Chadema ni mkubwa kuliko alipokuwa katibu mkuu
Chadema si Mbowe, hata yeye akiondoka Chadema kitaendelea kuwa chama cha UMMA wa watanzania
Watu hawajui tu, Chadema leo hii ni imara zaidi ya ile ya jana kabla ya mzee Slaa kuiponda
Hakuna kutetereka, nguvu ya umma inasonga mbele hadi ukombozi upatikane!
Ni kama ile hadithi ya Kinjekitile na Majimaji! Muasisi wa majimaji alikuwa Kinjekitile lakini ilifikia pahala ambapo Kinje hakuwa na udhibiti tena wala kusikilizwa na mtu. Majimaji yakawa makubwa sana kuliko Kinje! Chadema ni mpango wa Muumba kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa mfumofisidi. Hapa Dr hasikilizwi tena. Hapa ni pipoooooooz tu ndio wanaamua mwelekeo wa mabadiliko kwa kwenda mbele. CHAGUA MABADILIKO, CHAGUA UKAWA, CHAGUA LOWASSA.Ndio maana ya people's power!