Tumainiandy
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 430
- 91
Kama unauzoefu na ufugaji vifaranga wa siku moja hadi tatu wanapatikana kwa gharama ya shilingi 2800 kwa Dar es Salaam na mikoa ya jirani, tuwasiliane.
Ndugu naamini ungeanzisha Thread yako ungepata wateja wengi zaidi kuliko huku kuchomekea thread nyingine na mahitaji yako. Hii ni abuse ya nafasi uliopewa jamvini
Acha kuwa selfish ndugu mchango wake na thread hii haujatoka nje ya topic, wewe unauza kware wa week tatu na yeye anuza kware wa siku moja - siku tatu, sasa kila mtu akianzisha thread za kuuza kware jukwaa hili silitajaa kware tuu.
hao kwale ni wa kinyeji au wa kisasa
Ivi kware mbona namuona mdogo sanaa? Na labda anakitu anasaidia sanaa mwilini au nini anacho cha kipekeee??
samahani kware unafuga vipi? ukimwachia jioni anarudi bandani?Kware bado wanapatikana kwa wanaohitaji wa wiki tano
samahani kware unafuga vipi? ukimwachia jioni anarudi bandani?
...ukimwachia jioni anarudi bandani?