advocate kiza
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 261
- 90
Kajipange upyaHabari Wanajukwaa!!
Awali Ya Wote Naomba Nijitambulishe Kama Mpenda Mziki Mzuri,
Nimefanya Utafiti Usio Rasmi, Nimegundua Kwamba Nyimbo Za Kwanza Za Wasanii Wa Kizazi Kipya Huwa Nzuri Kuliko Nyimbo Wanazozitoa Baada Ya Kupata Jina
Mfano,
Young Killer- Dear Gambe, Mrs Superstar, Jana Na Leo Vs Secreto
Stamina -kabwela Vs Kibamia
Harmonize- Aiyola Vs Paranawe
Rayvany -kwetu Vs Tetema
Lava Lava - Bora Tuachane Vs Teja
Na Nyinginezo
Tatizo Ni Nini Hasa??
Umeelewa Concept??? Au UmekurupukaHuo utafiti uchwara..
Mbona hujasema Aiyola vs Kwang'aru?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Sawa Mama,Kajipange upya
Ngoja wachangiaje waje ndio utajua kama ww ndie ulie kurupuka..Umeelewa Concept??? Au Umekurupuka
Thread closed.Huo utafiti uchwara..
Mbona hujasema Aiyola vs Kwang'aru?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk