Tetesi: Kwanini wasanii hutoa nyimbo kali wakati wanaanza kazi zao, then wanapotea wakipata jina?

advocate kiza

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
262
225
Habari Wanajukwaa!!
Awali Ya Wote Naomba Nijitambulishe Kama Mpenda Mziki Mzuri,

Nimefanya Utafiti Usio Rasmi, Nimegundua Kwamba Nyimbo Za Kwanza Za Wasanii Wa Kizazi Kipya Huwa Nzuri Kuliko Nyimbo Wanazozitoa Baada Ya Kupata Jina

Mfano,
Young Killer- Dear Gambe, Mrs Superstar, Jana Na Leo Vs Secreto

Stamina -kabwela Vs Kibamia

Harmonize- Aiyola Vs Paranawe

Rayvany -kwetu Vs Tetema

Lava Lava - Bora Tuachane Vs Teja
Na Nyinginezo

Tatizo Ni Nini Hasa??
 
Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
2,549
2,000

Kajipange upya
 
Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
13,120
2,000
Mwanzoni wakiwa hawana jina wanawekeza nguvu nyingi,wakipata fedha...fedha zinawaelekeza kwenye matumizi (starehe za dunia), na juhudi au muda wa kuwekeza nguvu nyingi kwenye mziki unapungua;na mwisho wa siku mtu anatoa mziki usiokuwa na ubora,mauzo yanashuka,kupata show inakuwa shida na mwisho wa siku kufilisika kama hatojirekebisha mapema.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom