mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
Najaribu kuwaza,
Yesu alikuwa anakaa kwenye hivi vijiwe hadi jamaa wakamuona ni mlevi...
Sio lazima muda wote mjitenge na jamii shirikini kwenye vikao vya pombe, hata kama ni bar na wewe hunywi kaa ubadikishane mawazo na wenzako hizo ndio zilikuwa tabia za kristo...
Kukwepa au kumkimbia mnywaji ni Imani haba...
Hapa tunazungumzia wale ambao pombe kwao ni haramu sio wale walioihalalisha...
acheni kuwadis walokole hao ndio wanaoiombea Tanzania mpaka leo ina amaniNajaribu kuwaza,
Yesu alikuwa anakaa kwenye hivi vijiwe hadi jamaa wakamuona ni mlevi...
Sio lazima muda wote mjitenge na jamii shirikini kwenye vikao vya pombe, hata kama ni bar na wewe hunywi kaa ubadikishane mawazo na wenzako hizo ndio zilikuwa tabia za kristo...
Kukwepa au kumkimbia mnywaji ni Imani haba...
Hapa tunazungumzia wale ambao pombe kwao ni haramu sio wale walioihalalisha...
Ushakaa nae analewa halafu anaanzisha vurugu anaanza kukupiga ww ulie karibuNajaribu kuwaza,
Yesu alikuwa anakaa kwenye hivi vijiwe hadi jamaa wakamuona ni mlevi...
Sio lazima muda wote mjitenge na jamii shirikini kwenye vikao vya pombe, hata kama ni bar na wewe hunywi kaa ubadikishane mawazo na wenzako hizo ndio zilikuwa tabia za kristo...
Kukwepa au kumkimbia mnywaji ni Imani haba...
Hapa tunazungumzia wale ambao pombe kwao ni haramu sio wale walioihalalisha...
hapa tunakumbushana wenda wakawa wamesahau baadhi ya nyayo za yesuacheni kuwadis walokole hao ndio wanaoiombea Tanzania mpaka leo ina amani
Ushakaa nae analewa halafu anaanzisha vurugu anaanza kukupiga ww ulie karibu
Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike, asema Bwana Mwenyezi.
2 Wakorintho 7:17-18
Du hatari sana kwenye masuala ya imani sina msaadawewe hauoni kama hao watu unaowataja ndio wanaongoza kwa unafiki hapa duniani mkuu?
ni aina flani ya watu ambao ni hopeless sana na hasara kwa taifa na jamii kiujumla...
mathayo 11:19Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike, asema Bwana Mwenyezi.
2 Wakorintho 7:17-18
Mwingine huyu hapa yaani hawajifichiacheni kuwadis walokole hao ndio wanaoiombea Tanzania mpaka leo ina amani
"Aliyezaliwa na Mungu, Hatendi dhambi" hapa ndi unafiki unapoanzia...Tokea nigundue kuwa almost 99% ya Walokole ni very hopeless sitaki / sipendi kupoteza muda wangu kuwajadili popote.