Kwanini Rose Kamili si kamili

Kuachana na mwanamke uliyekuzalia watoto si jambo zuri lkn kwa mwanamke kama rose kamili bora kuwa kutokuwa na mwanamke ukaishi kapera kulikokuwa na huyu mama. Dk alivumulia mengi sana kwa huyu mama

Na sasa ndio atakomeshwa na huyo Mushumbuzi tusubiri.
 
Kweli Tanzania kiboko...! Mpaka Mh. Mbunge anatelekezwa?! Kweli tuna safari ndefu.... Alikosa hata wale wa shauri wa kumuelekeza kupeleka watoto ofisini kwa baba...
 

Hoja nyepesi na haina mashiko
 
ila slaa pia sio mwanaume anayejua wanawake wanataka nini

He is a true loser na package aliyofaidika nayo kubwa sana

Mushumbusi ni shiiiiiida kuliko wife #1


Hivi mmeona uke mkologu wa mushumbuzi?
mkuu nimetoka kapa hapo kwenye bluu, hebu elezea kidogo.
 
sikuona huyo rose kamili kama alimjibu slaa cha maana nadhani alitumiwa tu kufanya hivyo na wanafiki wenzie,kwani mtu akisema unakula mihogo ni issue kubwa kiasi hicho hd uite vyombo vya habari kulizungumzia hilo....!!!
 
Kweli kipendacho roho.......
Hivi kweli Slaa amejitolea kwa hali na mali chadema? Siyo Slaa huyu huyu kabla ya kipindi cha uchaguzi[uliopita] alipoombwa na wenzake agombee urais alidai kuwa kugombea urais ni risk kubwa kwani uwezekano wa kushindwa na ccm ulikuwa ni dhahiri na kwamba kwa ubunge wa karatu alikuwa na uhakika wa 100% Hoja yake ikawa jee akishindwa kipato ambacho alikuwa anakipata kupitia kofia ya ubunge ingekuwaje???? Hapo uongozi wa cdm ulimhakikishia kuwa hata akikosa urais atakuwa analipwa posho zaidi ya ile aliyokuwa anapata kama mbunge. Baada ya makubaliano hayo ndipo alipokubali kugombea nafasi ya urais
 
Source: raia ccm


Aaaaaaaaaagggghghh tupa kureeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…