Pasco_jr_ngumi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 1,802
- 282
HABARI WANA JF,
Nimejaribu kufikiri kwa muda mfupi sana, nikaja na hili wazo!
Naombeni tujadiliane, kwa nini huyu jamaa hajapewa hata unaibu uwaziri? kama elimu anayo na ni mtaalamu wa masuala ya biashara. Tena ni kijana matata na hodari anayeikuza kampuni ya MOHAMEDI ENTERPRISE kwa kupanuka vilivyo.....
Je ni kasumba ya kuwa muhindi au? lakini ni mtanzania haswa, nakumbuka babu Nyerere alimpa madaraka mbalimbali Mzee Al-noor Kassum ingawa ni muhindi. Hadi leo ni mkuu wa Chuo Cha Sokoine!!!
haya twende,
Lakini CDM msinitukane, tujadili kiutaifa kwanza!!!!
Mkuu Pasco Jr Ngumi naomba unijibu yafuatayo
Je wewe ni kibarua wake?
Una maslahi binafsi gani na hilo gamba au kampuni zake?
Je ulilazimishwa au ulilipwa ku post uzi huu,
. mbali na kuwa mchumia tumbo lakini mimi naona hii mental inclination ya kutaka kila mwenye digrii au mtu maafuru kwenye siasa ni lazima awe waziri ni fikra potofu na inaonesha to want extent we do not have entrepresing attitudes. let aus cherish for productive rather than non productive sector such as politics.otherwise we will not get out of poverty abyss.Sioni tatizo Dewji kutopewa unaibu waziri. Kama ana qualifications za kuwa naibu Waziri mbona wapo wengi wenye qualifications kama zake na hawajapewa fursa kama hiyo. Siyo wote wenye sifa za kuwa manaibu waziri watapewa unaibu waziri ... na hakuna tatizo katika hilo. Ni suala la nafasi zipo ngapi na wenye sifa wapo wangapi. Hatuna ushahidi wa kuhusianisha uhindi wake na yeye kutopewa unaibu uwaziri.