Zile kura za urais kuna kiwango kikifikia chama huwa kinapata ruzuku. Kwahiyo, ni muhimu kuweka mgombea urais labda iko kiwango kinaweza kufika na chama kikipata pesa ya kujiendesha. Ila sidhani kama wanaogombea wana nia nyingine zaidi ya hii, mana kuhusu kushinda sio kweli, kwasababu kuna majimbo wanashindwa kuweka wagombea
Mwai Kibaki wa Kenya aligombea mara 4 bila kupata, mara ya 5 akapata.Ukimtazama Seif Sharif Hamad..
Uje umtazame ..Lipumba..
Uje umtazame Rungwe..
Uje umtazame na Mbowe hivi juzi.
Anapokuja kutaka kugombea huku momentum yote ipo Kwa Tundu Lissu..
Nimejiuliza Sana why wanasiasa hawa wanataka kugombea huku wanajua kabisa hakuna watakachopata?
Walishagombea huko nyuma walipata nini?
Kuna hidden benefits za mtu kugombea Urais?
Kwanini Kugombea Urais kunakuwa kama
Madawa ya kulevya mtu akianza Tu hataki kuacha?..au hawezi kuacha?
Yaani hata kina Cheyo.na Mrema pia ilikuwa kila uchaguzi wapo tu hata kama kura ni mbili Tu ..na Dovutwa pia...
Kuna Siri gani wanaijua wakigombea Urais?..
International recognition?
Wanapita VIP airport? Au kuna nini hasa?
Ukimtazama Seif Sharif Hamad..