Unajifanya hujui? Ilikuwaje jana kwa mara ya kwanza ukatoroka kazini?
ha ha ha dah pole sana homeboy!!We ache tu hommie. Kama si mwathirika Preta, haka ka kompyuta kangegeuka punching bag!
mhh kuuziwa mbuzi kwenye gunia yale yale ya kununua simu ubungo!
Umenena vizuri kabisa nami naongeza. Ni nani aliyeonja akaacha kuoa/kuolewa kwa sababu si tamu? Pili (hili linahitaji honesty) nini kinafanya watu kuoana ni utamu wa nanilii?Kuonja sio issue,
when it come to ndoa, nina amini, na wengine mtakuwa mashahidi, utamu au ukawaida au u-tight au u-loose, au unene, urefu, udogo haviwi vigezo.
Nani alishaoa au kuolewa kwa sababu ameonja akakuta ni tamu sana?
Haya mambo ya kutishana yameanza lini JF?we mdada ni hatari sana. jitahidi kubadilisha maisha yako, ondoa fikra za ngono kichwani, weka fikra za kimungu ndani yako, kwasababu vile mtu anavyofikiri na ku upload vitu mbalimbali kichwani mwake, ndivyo hivyo atakavyokuwa. mfano, mtu anayependa sana ngono, anayependa sana ponography, anayependa sana kuongelea ngonongono tu muda wote, atakuwa mtu wa ngono maisha yake, tembea yake itakuwa ya kingono, ongea yake itakuwa ya kingono, mwisho ataangukia kwenye ngono ya moto wa jehanam. naongea hivi kwasababu nakufahamu, ushauri wa bure, mkumbuke muumba wako siku za ujana wako, kabla nafasi hiyo uliyonayo haijaondoshwa kufumba na kufumbua, hautapata nafasi ingine tena, utalia na kusaga meno. Mungu akusaidie.NB; this is specific to you, since i know you. haiwahusu wengine. asante.
kusema ukweli, huko mnakosema ni kuonja, ni dhambi, ni uasherati na ni dhambi inayoua roho. enyi mnaosikia/soma hii thread, nendeni muwaambie na wengine kuwa hii ni dhambi, perios. tuwashauri vijana wenzetu kuacha hiyo kitu. uasherati hauna excuse.hakuna cha kusema mtu anauziwa mbuzi kwenye gunia au vipi. ni dhambi. bora uuziwe mbuzi kwenye gunia kuliko kuingia jehanam.
we mdada ni hatari sana. jitahidi kubadilisha maisha yako, ondoa fikra za ngono kichwani, weka fikra za kimungu ndani yako, kwasababu vile mtu anavyofikiri na ku upload vitu mbalimbali kichwani mwake, ndivyo hivyo atakavyokuwa. mfano, mtu anayependa sana ngono, anayependa sana ponography, anayependa sana kuongelea ngonongono tu muda wote, atakuwa mtu wa ngono maisha yake, tembea yake itakuwa ya kingono, ongea yake itakuwa ya kingono, mwisho ataangukia kwenye ngono ya moto wa jehanam. naongea hivi kwasababu nakufahamu, ushauri wa bure, mkumbuke muumba wako siku za ujana wako, kabla nafasi hiyo uliyonayo haijaondoshwa kufumba na kufumbua, hautapata nafasi ingine tena, utalia na kusaga meno. Mungu akusaidie.NB; this is specific to you, since i know you. haiwahusu wengine. asante.
Tell me it is not true, kwa sababu huyu alipotea ghafla sana jana...............na wewe pia, kwa wakati mmoja.Unajifanya hujui? Ilikuwaje jana kwa mara ya kwanza ukatoroka kazini?
Holier than thou sio?we mdada ni hatari sana. jitahidi kubadilisha maisha yako, ondoa fikra za ngono kichwani, weka fikra za kimungu ndani yako, kwasababu vile mtu anavyofikiri na ku upload vitu mbalimbali kichwani mwake, ndivyo hivyo atakavyokuwa. mfano, mtu anayependa sana ngono, anayependa sana ponography, anayependa sana kuongelea ngonongono tu muda wote, atakuwa mtu wa ngono maisha yake, tembea yake itakuwa ya kingono, ongea yake itakuwa ya kingono, mwisho ataangukia kwenye ngono ya moto wa jehanam. naongea hivi kwasababu nakufahamu, ushauri wa bure, mkumbuke muumba wako siku za ujana wako, kabla nafasi hiyo uliyonayo haijaondoshwa kufumba na kufumbua, hautapata nafasi ingine tena, utalia na kusaga meno. Mungu akusaidie.NB; this is specific to you, since i know you. haiwahusu wengine. asante.
Those we wait.............wewe umeweza/uliweza?
Tell me it is not true, kwa sababu huyu alipotea ghafla sana jana...............na wewe pia, kwa wakati mmoja.
watu tunakutana humu, nyie mnaenda kukutania sinza kwenye nyumba za nanihii!!
Holier than thou sio?
LOW!! wewe ni nani hata umfahamu binadamu mwenzako? mtu huongea na Mungu wake sirini, unajuaje file la Maria Rosa kwa Mungu? au wewe ndo unamshikia Mungu Mafile ya binadamu.
I am still waiting!of-course I did wait and it worth my while...how about u?
unachoinsinyureti hapo ni abomination
Iribini biggy wangu sema yeye alienda kukutana na kina Eliza sijui wapi vile......
hivi kuna waungwana wanahisi nimekufa wameanza kurithi mirathi na maiwaifu eenh?
and all this time i thought u r a she...pardon me bigirita there is no any gender indicators in here...I am still waiting!
but there is this chick iam planning to date in a near future, i will definately Onja......tired of waiting bana.
Hii kitu bado new kabisa.......i need to use it now!!