Sasa nimeamini yale aliyosema Manara kuwa Yanga wenye akili ni wawili tuu.
Nikuulize, nyie si ndio mnajinasibu maningwa wa kihistoria mara 29 Tanzania? Jee hiyo miaka ya 60 na 70 ligi hii ilikuwa inajulikana kama NBC PREMIER LEAGUE?
Kwa taarifa yako, ligi hii imewahi kutambulika kana Ligi daraja la kwanza, ikaitwa Ligi kuu, Ligi kuu ya Jamhuri nk lakini yote yalikuwa ni maboresho na maana yake haikubadilika.
Sasa kwa upuuzi wenu na ubishi mliofundishwa na yule mzungu poli mnatunga na kubisha kila kitu