Satorukage Member Joined Jul 18, 2022 Posts 18 Reaction score 23 Aug 9, 2022 #1 Nataka mtu atueleweshe kwanini bundle zimepanda bei na nini kilichosababisha hali hii, vile vile na solutions za tatizo hilo kama lipo. Hii inaumiza sana wanachuo, unakuta mtu yuko radhi aweke bundle kuliko kula. Mie naona sio haki kabisa.
Nataka mtu atueleweshe kwanini bundle zimepanda bei na nini kilichosababisha hali hii, vile vile na solutions za tatizo hilo kama lipo. Hii inaumiza sana wanachuo, unakuta mtu yuko radhi aweke bundle kuliko kula. Mie naona sio haki kabisa.
evonik JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 3,996 Reaction score 5,187 Aug 9, 2022 #2 Inaumiza wanachuo
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 10,170 Reaction score 36,309 Aug 9, 2022 #3 Tozo zimeathiri biashara ya miamala kwenye makampuni, nahisi wana fidia kwa kupandisha gharama za vifurushi. Lawama kwa serikali.
Tozo zimeathiri biashara ya miamala kwenye makampuni, nahisi wana fidia kwa kupandisha gharama za vifurushi. Lawama kwa serikali.
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,746 Reaction score 25,662 Aug 9, 2022 #4 Hamia TTCL vifurushi ni nafuu na ni rafiki kwa wanachuo. #RudiNyumbaniKumenoga
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,677 Reaction score 1,251,132 Aug 9, 2022 #5 Inasikitisha sana
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,016 Aug 9, 2022 #6 Satorukage said: Nataka mtu atueleweshe kwanini bundle zimepanda bei na nini kilichosababisha halii hii, vile vile na solutions za tatizo hilo kama lipo . Hii inaumiza sana wanachuo, unakuta mtu yukoradhi aweke bundle kuliko kula . Mie naona sio haki kabisa Click to expand... BEI YA DIESEL IMEATHIRI KILA PAHALA, yakiwemo mabando
Satorukage said: Nataka mtu atueleweshe kwanini bundle zimepanda bei na nini kilichosababisha halii hii, vile vile na solutions za tatizo hilo kama lipo . Hii inaumiza sana wanachuo, unakuta mtu yukoradhi aweke bundle kuliko kula . Mie naona sio haki kabisa Click to expand... BEI YA DIESEL IMEATHIRI KILA PAHALA, yakiwemo mabando
sky soldier JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 5,406 Reaction score 19,370 Aug 9, 2022 #7 Internet inasambaza mwanga unaotoa giza kwa watanzania.... ujinga ndio silaha kubwa ya chichiemu, hawataki tuelimike
Internet inasambaza mwanga unaotoa giza kwa watanzania.... ujinga ndio silaha kubwa ya chichiemu, hawataki tuelimike
Mr muhuni JF-Expert Member Joined May 26, 2014 Posts 1,304 Reaction score 1,268 Aug 9, 2022 #8 ohoo mko wapi mbona waziri alishalitolea ufafanuzi kule mjini twitter kwamba mafita ya kuendesha mitambo et yamepanda
ohoo mko wapi mbona waziri alishalitolea ufafanuzi kule mjini twitter kwamba mafita ya kuendesha mitambo et yamepanda