Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,371
Duh dak 8 tuInategemeana na Cell za Mwili zinanguvu kiasi gani na Pia Mshaambiwa Sex ni Dakika 8 tu yatosha..
Cell hupambana sana kuvishinda virusi
Hilo na mimi niliwahi sikiaMoja ya sababu ni kwa baadhi ya watu kukosa receptors za HIV. Sasa sijafuatilia kama ina uhusiano na jinsia ya mtu.
Moja ya sababu ni kwa baadhi ya watu kukosa receptors za HIV. Sasa sijafuatilia kama ina uhusiano na jinsia ya mtu.
Dalili za ugonjwa fulani sio uthibitisho wa ugonjwa husika. Uthibitisho hupatikana kwa vipimo, tena vya uhakika na vilivyofanywa kwa ufanisi.Ni kweli kwamba unaweza kupata dalili za HIV ukakaa zaidi ya mwaka na vipimo vikaonesha negative?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kwamba unaweza kupata dalili za HIV ukakaa zaidi ya mwaka na vipimo vikaonesha negative?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Sio sababu ya kisayansi!! Acha wenye taaluma yao wajeViungo vya ke na me ni tofauti. uke uko very exposed kupata maambukizi kwa sababu kuta za mle ndani ni laini na rahisi kuchubuka...sasa ngoz ya uume ni ngumu labda ndani ya kale katundu ambapo ni kasehemu kadogo kama 2% ya kiungo lakini uke 99% ni soft tissue.
HahahahMbona muddy ana kibamia!!
Kama yule sio kibamia basi mimi nina mzigo wa punda
No hapana..Ni kweli kwamba unaweza kupata dalili za HIV ukakaa zaidi ya mwaka na vipimo vikaonesha negative?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi pata mwanaume akanidu dakika 45..sidhani Kama hata namtaka.
Taratibu Taratibu utazoea tu, first time dak 10,15,25, 30 hadi date no. 5 utataka mwenyewe kufika dak 45 😀Sijawai pata mwanaume akanidu dakika 45..sidhani Kama hata namtaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha utani.Sijawai pata mwanaume akanidu dakika 45..sidhani Kama hata namtaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
EeeeeEeE huuuuu Mungu mkubwaDalili za ugonjwa fulani sio uthibitisho wa ugonjwa husika. Uthibitisho hupatikana kwa vipimo, tena vya uhakika na vilivyofanywa kwa ufanisi.
Dalili nyingi za magonjwa zinaendana. Kwa mfano, kuna msemo maarufu sana siku hizi kuwa sio kila homa ni malaria, unaweza ukawa na homa ukiwa na typhoid, n.k...