Kwa kawaida yapo mambo serikalini lazima yawe classified. Mfano mambo ya usalama wa taifa au ya kijeshi, lakini kuficha hata mambo ya kiutendaji au budget zake wakati wananchi ndio wanayoyagharamia sio sawaIn practice there is no open government in this universe, secrecy of governments make government survive as per Machiavell's principle.
Wanaficha ili wapige, ndio maana hata ATCL imehamishiwa Ikulu. Haikaguliwi.Katika kipindi cha awamu ya NNE serikali ilijiunga na mpango wa kidunia uitwao OPEN GOVERNMENT PARTNERSHIP (OGP) ambao ulikuwa unaweka uwazi wa shughuli mbalimbali za serikali kwa wananchi wake. Watanzania na kupitia Bunge lao waliukubali na kuupenda mpango huo.
Ajabu ni kuwa baada ya awamu ya tano kuingia madarakani, serikali ilijitoa huko na kuagiza kuwa mambo yote yatafanyika kwa usiri kiasi kuwa hata wabunge hawatajua nini kinaendelea.
Msikilizeni Rais Kikwete akielezea umuhimu wa OGP alipohojiwa na Maria Sarungi. Nini kimefanya hawa wenzetu kuamua kujitoa na kuendekeza usiri?
Usiache nikuite mjinga. Matumizi yepi ya ruzuku yanayofichwa wakati yana kaguliwa na CAG kila mwaka na penye utata hoja za ukaguzi zinatolewa?Hata hao wapigania ufisadi nao mafisadi nao mafisadi tuu, wapinzani wekeni openi basi hata mapato na matumizi ya Ruzuku mnazopewa kama kweli nyie watu.
Umekariri madesa..ujui kuna dynamism kwenye mamboIn practice there is no open government in this universe, secrecy of governments make government survive as per Machiavell's principle.
Siri sirini. Ni wazi kwa Najim ZUBERI MSENGA tu.
Shughuli za bunge kwa maana bubge live au?Shughuli za bunge
Katika kipindi cha awamu ya NNE serikali ilijiunga na mpango wa kidunia uitwao OPEN GOVERNMENT PARTNERSHIP (OGP) ambao ulikuwa unaweka uwazi wa shughuli mbalimbali za serikali kwa wananchi wake. Watanzania na kupitia Bunge lao waliukubali na kuupenda mpango huo.
Ajabu ni kuwa baada ya awamu ya tano kuingia madarakani, serikali ilijitoa huko na kuagiza kuwa mambo yote yatafanyika kwa usiri kiasi kuwa hata wabunge hawatajua nini kinaendelea.
Msikilizeni Rais Kikwete akielezea umuhimu wa OGP alipohojiwa na Maria Sarungi. Nini kimefanya hawa wenzetu kuamua kujitoa na kuendekeza usiri?