lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,743
- 3,450
Perfectionist nimekusikia.....sijui kama hata una exist siyo kila kitabu kinachoandikwa kinakuhusu usidandie gar kwa mbele..Hivi unaanzaje kuandika gazeti reeeeeefu kwa mtu ambae hata hajui kama una exist??? Baadae wewe unaenda kulia ooh awamu ya tano haitupi ajira, huo muda uliokaa kumsimanga kijana anayejipatia tonge lake kwa kutumia kipaji chake na wewe si ungebeba nguo za mtumba ukawa unaitia pale k,koo....
Inasikitisha sana.
Hivi unaanzaje kuandika gazeti reeeeeefu kwa mtu ambae hata hajui kama una exist??? Baadae wewe unaenda kulia ooh awamu ya tano haitupi ajira, huo muda uliokaa kumsimanga kijana anayejipatia tonge l. tmale, post: 33305088, member: 342627"]aaw
Mofaya imeondoka kabla haujainywa
RMofaya imeondoka kabla haujainywa
Ushabiki kindakindaki dhidi ya kiba unakufanya upingane na namna unavyoelewaSio ya Aslay pekeyake kiba kaandika mashairi yake na Aslay kaandika yake ni X ndio maana imewekwa katikati kwa maana ni yawatu wote wawili nasio ya mtu mmoja tu.
Side b siyo size tena ndiyo maana watoto Wa jasiri muongoza njia wanamtema mchana kweupe wameona wanajaza gunia maji.Yani alikiba hatoi nyimbo hajihangaishi na chochote wala lolote ila anavyowapa tabu side B sasa wakati hii ndio wangekua wanafurahia kua jamaa amekwama
Duu mtu hata hakujui chuki yote ya nini hii hadi utake akafie mbeleJamaa ni fala kiwango cha SGR.
Kuna siku alikuwa USA akawa anahojiwa FNL live na Sam Misago.. aseee yaani kila swali anajibu "SIWEZI KULIZUNGUMZIA HILO" Niliboeka sana hata EATV wakaona kama anawapotezea muda wakamtoa kwa air.
Inshort jamaa ni rubish kabisa then anajimaliza mwenyewe.
Ila tatizo kubwa naona bado ni mshamba flani hivi ambaye kaotea life sasa haamini kama ni yeye.
Akafie mbele uko.
Jamaa ni fala kiwango cha SGR.

Bado unatumia simu zinakuletea error za kipuuzi halafu unamuita kiba fala WATAALAM NISAIDIENIJamaa ni fala kiwango cha SGR.
Kuna siku alikuwa USA akawa anahojiwa FNL live na Sam Misago.. aseee yaani kila swali anajibu "SIWEZI KULIZUNGUMZIA HILO" Niliboeka sana hata EATV wakaona kama anawapotezea muda wakamtoa kwa air.
Inshort jamaa ni rubish kabisa then anajimaliza mwenyewe.
Ila tatizo kubwa naona bado ni mshamba flani hivi ambaye kaotea life sasa haamini kama ni yeye.
Akafie mbele uko.
Duu mtu hata hakujui chuki yote ya nini hii hadi utake akafie mbele
Bado unatumia simu zinakuletea error za kipuuzi halafu unamuita kiba fala WATAALAM NISAIDIENI
sema ni vile ulitaka umbea (kujua yasiyo kuhusu toka kwa king kiba) na yeye akawa anayapotezea ndio kuchukiaJamaa ni fala kiwango cha SGR.
Kuna siku alikuwa USA akawa anahojiwa FNL live na Sam Misago.. aseee yaani kila swali anajibu "SIWEZI KULIZUNGUMZIA HILO" Niliboeka sana hata EATV wakaona kama anawapotezea muda wakamtoa kwa air.
Inshort jamaa ni rubish kabisa then anajimaliza mwenyewe.
Ila tatizo kubwa naona bado ni mshamba flani hivi ambaye kaotea life sasa haamini kama ni yeye.
Akafie mbele uko.
Sasa side B mbona hawaishi kumuongelea jamaaSide b siyo size tena ndiyo maana watoto Wa jasiri muongoza njia wanamtema mchana kweupe wameona wanajaza gunia maji.
Hata mm nashangaa sanaSawa, Mond ndo habari ya mjini
Sasa kiba anawakoseshaje usingizi? Kuna kitu hakiko sawa, si bure
Ahaaaaaaaaaaah wakati gani,come on ko ndo unaweza kubalisha ukweli kama rayvanny>harmonize. Wake up child be carefully with your heart go and sleep eboooooohulianza vizuri nikajua una akili kumbe unaongozwa na mihemko....huwez kumfananisha rayvanny na kondeboy kwa wakati huu tulionao km una akili timamu...vngnvy utakua sawa na muimba taarabu 2!
HahahahhhhhMbona kashatoa ngoma 2 mwezi huu ila sema hapendi show off anazisikiliza yeye na mdogo wake abdu
Ukisikia mtu anajiharibia basi kiba ni moja wapo, samaki akivuliwa huwa anakunjwa mapema wakati bado mbichi.
Sijui ni kwamba kawa kimya kwasababu amempoteza master mind Ruge, au ni kwavile kakimbiwa na mke wake aliechukia mrundikano wa ndugu nyumba wanayoishi, au anataka kurudia kupiga mbizi kama 2010 na akaibuka upya 2015.
ngoja nikagonge pepsi sasahivi bariiiiiidiiiDomo anampiga sana bao.
Yaani diamond ukimpa ubalozi hujutii aisee. Yaani kapata deal la pepsi kila umuonapo kashika pepsi nahisi hata wao pepsi wanaenjoy sana.
Yaani unajikuta tu hata ww shabiki unahamasika kununua pepsi.[emoji3]