1979Magufuli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 458
- 1,830
Mbona msimu uliopita mgunda ndo alikua kocha mkuu aliisimamia Simba michuano ya CAF akampiga 1° Augusto ya Angola nje ndani na Simba wakafuzu makundi Kwa kishindo?..Wana vyeti ndugu zetu? Isije ikawa mechi za caf wanakaa majukwaani
Ukocha mkuu hupewi kama pipi vyetiNa kwa nini kila siku Matola yeye ni kocha msaidizi tu! Hivi ni lini atakuwa kocha mkuu?
Labda ni wakati huyo jamaa akae pembeni lije benchi jipya kama wafanyavyo YangaUkocha mkuu hupewi kama pipi vyeti
Matola hawezi kutoka Simba! Maana huyo jamaa ana kazi nyingi pale klabuni. Kumbumbuka ndiye kiongozi mkuu wa ile kamati nyeti ya ufundi.Labda ni wakati huyo jamaa akae pembeni lije benchi jipya kama wafanyavyo Yanga
Alikaa benchi au jukwaani?Mbona msimu uliopita mgunda ndo alikua kocha mkuu aliisimamia Simba michuano ya CAF akampiga 1° Augusto ya Angola nje ndani na Simba wakafuzu makundi Kwa kishindo?..
Na hata kwenye ligi alikua vizuri kabla hajampisha robantinho?
benchika ni wa kuokota?Mmeachana na Benchika nimefurahi sana, ana cv kubwa lakn uwezo wa kawaida tu, hana mbinu wala ufundi zaidi ya dharau, kebehi na kiburi.
Wengi hamjui lkn Benchika ana shida, kiuongozi hayawezi kusemwa lkn viongozi wa Simba sio wajinga kumtema Benchika, ana maneno ya karaha sana na hata wachezaji wamevunjila ari ndio maana uongozi umeona mwache aende.
Lakini hivi Juma Mgunda ambaye anafundisha timu yetu ya wanawake ana shida gani?
Hiv kweli jaman Mgunda ambaye ametoka AFCON na Stars mnamuacha aendelee kufundisha timu ya wanawake mnaenda kumchukua kocha wa KMC kweli, kwamba ana mbinu kuliko Mgunda?
Haya bana, kila la heri
🤣🤣🤣🤣🤣 Nimevuta picha Mo anakula bakora huku anakimbia na kuanguka ila bakora ziko palepale.Ningelikua na uwezo na mabavu ningeli watembezea bakora viongozi wa Simba wote hadi Mo mwekezaji. Ila 1
Kanjibai FC.Mmeachana na Benchika nimefurahi sana, ana cv kubwa lakn uwezo wa kawaida tu, hana mbinu wala ufundi zaidi ya dharau, kebehi na kiburi.