Hiyo jezi ndio kaizer walivaa dar.. baada ya mechi kuisha walibadilishana jezi wachezaji..
Hata kapombe anayo jezi hiyo ya kaizer chiefs ya blue.. alienda tazama diwani cup yombo akiwa amevaa jezi ya kaizer.
Hiyo ni fair play na memory kwa wachezaji kubadilishana jezi..